Habari za Punde

*MADAKTARI WA APOLLO WAANZA KUTOA HUDUMA YA MATIBABU KWA WANANCHI

Daktari Bingwa wa Upasuaji katika hospitali za Apollo nchini India Dkt. Sripriya Rajan (katikati) akisikiliza maelezo ya mgonjwa wa saratani, mishipa ya fahamu na moyo, aliyefika katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road kupatiwa matibabu na madaktari bingwa waliowasili nchini hivi karibuni. Kulia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani katika taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo. Picha na Ismail Ngayonga - MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.