Habari za Punde

*MADAKTARI BINGWA KUTOKA INDIA WAWASILI NCHINI KUTOA MATIBABU

Mmoja kati ya Madaktari Bingwa wa mifupa na viungo kutoka hospitali za Apollo nchini India. wazungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambao watakaokuwepo nchini kwa muda wa siku saba kwa ajili ya kutoa matibabu ya magonjwa ya saratani, moyo, figo, mishipa ya fahamu, mifupa na viungo kuanzia leo. Picha na Magreth Kinabo- MAELEZO


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.