Habari za Punde

*VIBOKO WAHAHA KUSAKA MAJI KUTOKANA NA UKAME

Viboko wakiwa wamesongamana katika dimbwi la maji kufuatia ukame unaosababishwa na majira ya kiangazi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Msongamano wa viboko katika Hifadhi ya Katavi.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.