Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AMUAPISHA JAJI OTHMAN MAKUNGU KUWA MWANASHERIA MKUU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein (kushoto)
akimuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Jaji Omar Othman Makungu, Ikulu mjini Zanzibar leo. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, Abdulhamid Yahya Mzee. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, akimkabidhi Katiba Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Jaji Omar Othman Makungu, baada ya kumuapisha rasmi leo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.