Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS AWASILI DODOMA KUHUDHURIA MIKUTANO YA KAMATI KUU NA HALMASHAURI KUU

:- Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asli ya Kabila la Wagogo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa mjini Dodoma leo, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimu wazee wa mkoa wa Dodoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.