Habari za Punde

*AIRTEL YAKABIDHI ZAWADI YA MSHINDI WA PROMOSHENI YA JIVUNIE

Meneja wa Airtel Tanzania Mkoa wa Pwani, Raphael Daud, akimkabidhi funguo za gari mshindi wa Promosheni ya Jivunie, Juma Hussein, mkazi wa jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi hiyo iliyofanyika jijini leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.