Habari za Punde

*HYUNDAI YATOA ZAWADI YA KRISMASI KWA WATEJA WAKE

Ofisa Masoko wa kampuni ya Hyundai Afrika Mashariki, Hassan Halfan (kulia) akikabidhi zawzadi za sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotemblea banda la maonyesho ya kampuni hiyo yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mlimani City jijini leo mchana.
Warembo waliokabidhiwa zawadi na kampuni hiyo, wakipozi na Mr Krismas baada ya kukabidhiwa zawadi zao.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.