Habari za Punde

*ASET YASOMA HITIMA YA ABUU SEMHANDO LEO

Mkurugenzi wa ASET na bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka (katikati) akijumuika na waombolezaji wakati wa Hitima ya aliyekuwa mwanamuziki wa bendi hiyo, Abuu Semhando aliyefariki hivi karibuni kwa ajali ya gari. Shughuli hiyo ya hitima ilifanyika jijini Dar es Salaam leo mchana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.