Habari za Punde

*IKULU YATOA MSAADA WA SIKUKUU KWA WATOTO YATIMA

Ofisa Ustawi wa Jamii Mkuu, kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Josephine Lyengi, (katikati) akiwakabidhi zawadi ya sikukuu ya Krismas watoto wanaoishi kwenye Kituo cha kulelea watoto Yatima cha Yatima Group kilichopo Mbagala Chamanzi, Said Omar na Rahma Ally, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi msaada huo kwa vituo hivyo maalum kwa ajili ya sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya iliyofanyika Ikulu jijini leo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.