Habari za Punde

*BENKI YA FBME YATOA MSAADA WA SHUKA 200 HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Ofisa Mwendeshaji wa Benki ya FBME, Abia Maneno (kulia) akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala,Dk. Kariamel Wandi, msaada wa Shuka moja kati ya 200 zilizotolewa na benki hiyo ikiwa ni sehemu ya misaada ya benki hiyo kwa Jamii. Makabidhiano hayo yalifanyika leo mchana hospitalini hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.