
Msanii wa Bongo Flava akiwapagawisha wakazi wa mjini Iringa wakati wa Tamasha hilo kwenye Uwanja wa Samora jana.

Vijana wakimsaidia kijana mwenzao ambaye ni mwanafunzi kutoka chuo fulani cha mjini humo ambaye alilewa chakali hadi kupoteza kumbukumbu na kufanya mambo ya ajabu wakati wa tamasha maalum la Serengeti lililofanyika Uwanja wa Samora mjini Iringa jana, ambapo bia za Serengeti lilikuwa zikiuzwa kwa Buku moja moja tu.

Pombe imeshapanda kichwani hapa vijana hao wakionyesha umahiri wao wa kufanya mazoezi lakini ni baada ya kulewa, wakiwa wazima mambo haya hawawezi kufanya, za bukubuku hizo babake, Serengeti Oyeeeeeee!
No comments:
Post a Comment