Ebwana eeh! Wachaga wa Bongo vipi mmefulia nini mbona msimu huu wa Sikukuu hii ya Krismasi hamjajazana kwenu kama tulivyowazoea?, hebu cheki hapa ni Moshi mjini pakiwa tulivu kabisa kana kwamba Wachaga wameamua safari hii kusafiri kutoka Moshi kuja Dar ili kusherehekea Sikukuu hii tofauti na siku za nyuma kila tarehe kama ya leo kwenye Mji wa Moshi kama hapa ni baraa tupu. Wadau tunasubiri jibu ni kwanini?????
Duh! hii ni noma Wachaga mpo wapi jamaniiiiii, mbona hakuna fujo zetu tulizozizoea katika mjin wenu?
Duh! hii ni noma Wachaga mpo wapi jamaniiiiii, mbona hakuna fujo zetu tulizozizoea katika mjin wenu?
No comments:
Post a Comment