Habari za Punde

*MKANDARASI MUNGAI AFURAHI NA WATOTO YATIMA IRINGA

Mkandarasi maarufu mkoani Iringa, Geofrey Mungai, akimlisha chakula mmoja kati ya watoto yatima wa kituo cha DBL Mkimbizi wakati wa hafla ya kuchangia kituo hicho fedha za sikukuu ya Krismas ambapo amechangia kwa asilimia 100 pamoja na kuchangia zaidi ya TSh. milioni 1.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.