Spika wa Bunge, Anna Makinda, akipokea zawadi ya kupongezwa kwa kushika wadhifa huo, kutoka kwa Balozi wa India nchini, Kocheril Velayudhan Bhagirath. alipomtembelea ofisini kwake leo mchana na kumkbidhi zawadi ya kumpongeza. Picha na Prosper Minja-Bunge
Spika Makinda na Balozi Bhagirath wakiwa katika mazungumzo.
Spika Makinda na Balozi Bhagirath wakiwa katika mazungumzo.
No comments:
Post a Comment