Habari za Punde

*tiGO NA PROMOSHENI YA ONGEA BURE

Rapa wa bendi ya Akudo Impact, Totoo Ze Bingwa (kulia) na Kiongozi wa bendi hiyo, Christian Bella, wakikonga nyoyo za wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofurika katika viwanja vya Ufukwe wa Bahari ya Hindi Coco Beach, wakati wa Onyesho la Promosheni ya Piga Simu Bure Usiku Tigo kwenda Tigo baada ya dakika ya Kwanza kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12, lililofanyika jana.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa kundi la Tip Top Connection, Dogo Janja na Madee, wakikonga nyoyo za wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofurika katika viwanja vya Ufukwe wa Bahari ya Hindi Coco Beach, wakati wa Onyesho hilo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.