Habari za Punde

*UTUMISHI WAMUAGANA KATIBU MSTAAFU THECLA

"Hongera Wastaafu wa Tume ya Utumishi, Bado tunawahitaji"...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma, Said Nassor, akimkabidhi zawadi, Katibu mstaafu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Thecla Shangali, wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu hao iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana jioni.


"KITAMBAA CHEUPE ISHARA YA UPENDO, MAMAAAA OOH SHIBOLAAA"

Nainua mikono, Mamaaaaa, kitambaa cheupe, Ishara ya Upendo Mamaaa, Ooh Shiboraaaa, ...Hivi ndivyo walivyokuwa wakisebeneka watumishi hawa wa Tume ya Utumishi wa Umma, PSC, wakati wa hafla ya kumuaga Katibu wa Tume hiyo, Bibi Thecla Shangali.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.