Habari za Punde

*WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA ARUSHA

Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki muda wakizungumza pamoja muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wao katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha leo asubuhi kutoka kushoto Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,Mwai Kibaki wa Kenya,Mwenyeji ambaye ni Mwenyekiti anayetarajia kumaliza muda wake wa mkutano huo, Dr.Jakaya Kikwete na Pierre Nkurunzinza wa Burundi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.