Habari za Punde

*NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Naibu Waziri Wa Uchukuzi Dr. Athuman Mfutakamba (mbele ya Mzungu) akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es salaam (TICTS) Neville Bissett, kuhusu utendaji wa shughuli za upakuaji wa mizigo katika bandari hiyo wakati alipofanya ziara Bandarini hapo, leo jijini Dar es Salaam. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.