Rapa wa Bendi ya Extra Bongo, Saullo Fagason, akighani sehemu ya rapu zake wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusu Bonanza la Waandishi wa Habari za Michezo linalojulikana kama 'TP Sunday Bonanza' linalotarajia kufanyika kesho kwenye Uwanja wa TP Sinza Uzuri Jijini Dar es Salam. Katikati ni Mkurugenzi wa Bendi hiyo, Ally Choky na baadhi ya wasanii wa bendi hiyo.
Baadhi ya wanenguaji wa bendi hiyo, wakionysha umahiri wao wa kucheza miondoko ya bendi hiyo wakati wa mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment