Picha ya Juu ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akimshukuru Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu baada ya kupokea mchango wa kampuni hiyo wa sh. milioni. 10 za kusaidia waathirika wa ajali ya Mv.Spice Islander, wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini Unguja. Katikati ni Meneja Miradi Maalum wa TBL, Emma Oriyo.
Picha ya chini Makamu huyo akiagana na baadhi ya maofisa wa Kampuni ya TBL, waliofika katika hafla hiyo fupi ya makabidhiano.
No comments:
Post a Comment