Baadhi ya Abiria wahaha kusaka wenzao waliobaki katika basi hili lililopata ajali jana wakati likielekea Tunduru likiwa lieongozana na kukimbizana na mabasi ya Nachingwea na Newala, Chanzo chetu limetoa ushuhuda huo kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi na mabasi hayo kukimbizana.
Baadhi ya Abiria na wananchi wakisaidiana kunyanyua basi ili kuokoa wenzao waliokandamizwa na basi hilo baada ya kuanguka, katika ajali hiyo hakuna aliyeripotiwa kufariki.
No comments:
Post a Comment