Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akimfariji mtoto wa marehemu Han Bing, wakati wa Ibada ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Marehemu Han, aliuawa na majambazi Oktoba 11, pia Mama Salma alitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mama Han Bing, ambaye alikuwa ni mke wa Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara wa kichina nchini Tanzania. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO,
Baadhi ya waombolezaji wa Kichina wakiwa katika shughuli hiyo ya maziko.
Waombolezaji wakilia kwa uchungu wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu.
No comments:
Post a Comment