Afisa Mdhibiti Ubora kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Winfrida Mrema (kulia) akimfanyia vipimo mkazi wa jijini Dar es Salaam, aliyefika katika banda hilo kwa ajili ya kujua afya yake wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru katika utoaji huduma za afya Tanzania yaliyoandaliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Picha na Moe Blog
Katika siku ya pili ya maadhimisho ya utoaji huduma za Afya Tanzania tangu Uhuru Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Kitengo cha Uchunguzi wa Awali wa Saratani ya Kizazi Wauguzi Maria Haule (kulia) na Genoveva Mlawa wakitoa huduma na maelezo mbalimbali kwa mmoja wa kinamama aliyejitokeza kuchunguza Afya yake.
No comments:
Post a Comment