Baadhi ya Abiria na Madereva walioamua kutelemka katika magari yao na kumzonga Trafic katika mataa ya Ubalozi wiki iliyopia subuhi baada ya trafic huyo kupitisha magari ya upande mmoja kwa muda mrefu, ambapo walikuwa wakipiga honi na makelele huku wakimtusi askari huyo na walipoona hawajali akiendelea kufanya kazi yake waliamua kumfuata na kumsukumiza pembeni kisha wakaanza kuamrisha magari yaliyokuwa upande wao yaani barabara ya Kinondoni inayotokea Mwananyama na kuanza kuyapitisha huku askari huyo akiyaita magari yanayotoka barabara ya Ali Hassan Mwinyi yaani Mwenge kuelekea Posta, jambo ambalo lilitaka kusababisha ajali siku hiyo.
Matukio ya Picha kwenye Mananda VETA na TEA maonesho ya wiki ya Elimu Tanga
-
Wananchi wakipata elimu katika Banda la VETA aliyetembelea banda la
kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya
shule ...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment