Habari za Punde

*TAIFA STARS KUAGWA LEO JIONI NEW AFRICA HOTEL

Kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kitaagwa leo jioni kuanzia mida ya saa 1 kabla ya kwenda Chad kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia. Hafla hiyo ya kuagwa itafanyika katika hoteli ya New Africa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.