Gari dogo linalotumia Umeme badala ya mafuta, likiongeza chaji katika eneo lililomaalum kwa kuchajia magari ya aina hiyo, kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto hivi karibuni, nchini Uingereza, Jijini london. Magari kama haya ni rahisi kutumia ambapo likielekea kuisha Chaji dereva kutafuta mahala palipomaalum kwa kuchajia katika mitaa ya jiji hilo pembezoni mwa barabara na kuchomeka chaji na kisha kuliacha kwa muda kadhaa. Lakini magari kama haya yakienea nchini kwetu na kutokana na umeme wa magumashi si magari yatajaa barabarani kwa kuishiwa na umeme?
NSSF: Wananchi Waliojiajiri Jiungeni, Jiwekeeni Akiba kwa Kesho Yenye
Uhakika
-
Dar es Salaam, Julai 10, 2026
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umewahimiza wananchi waliojiajiri
nchini kujiunga na kuchangia katika Mfuko huo il...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment