Gari la Zimamoto la Manispaa ya Jiji ya Dar es Salaam, likiwa limepiga mweleka katika Barabara ya Morogoro eneo la Magomeni Kagera leo asubuhi, wakati gari hilo likiwa kwenye mwendo mkali na kumshinda dereva wa gari hilo. Kutokana na ajali hiyo barabara hiyo ilifungwa kwa muda jambo ambalo lilisababisha msongamano mkubwa mahala hapo. Picha na Mdau Kajunason.
TANZANIA NA MAREKANI ZAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Serikali ya Tanzania imekubaliana na Chama cha Wafanyabiashara cha Marekani
(U.S. Chamber of Commerce) mjini Washington, D.C., kutekeleza kwa mkakati
...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment