Wachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo wakitokea Gaborone Botswana, ambapo walicheza mechi ya kirafiki na The Zebras na kutoka sare ya kufungana mabao 3-3.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
1 week ago

No comments:
Post a Comment