Padre Kalaso (katikati) wa Kanisa la Familia Takatifu Parokia ya Ipuli, Tabora akishuhudia Bwana Allen Munene akimvalisha pete bibi Veronica Stima wakati wakifunga ndoa takatifu iliyofanyikia kanisani hapo na kufuatiwa na sherehe iliyofayika katika ukumbi wa chuo cha Utumishi wa Umma Uhazili, Tabora.
Pozi la pekee; bibi harusi akiwa na wasimamizi wake.
...Maharusi wakiingia ukumbini kwa furaha.
...Huku nako Baba na Mama Stima wakipokea keki kutoka kwa watoto wao.
Wachanga na ile staili yao ya kushikana mikono, kudumisha umoja na mshikamano kati yao.
... Upendo na mshikamano udumu milele.
Wapare nao hawakuwa nyuma na staili yao ile ya kuwema mikono nyuma...
Wafipa sasa wao walikuja kisasa kabisa...
...huku nako mambo ya pwani yaliendelea kunoga...
... Ni bwana Cathbert Angelo (katikati) akiwa na mama wakwe, Mavazi wa Bwana na Bibi Allen Munene yamebuniwa mbunifu wa mavazi Manju Msita.
No comments:
Post a Comment