Habari za Punde

*MBIO ZA MBUZI ZA HISANI ZAINGIZA SH. MILIONI 115


Mwanzilishi wa Mbio za Mbuzi za Hisani, Dar es Salaam, Paul Joynson-Hicks (kulia) akishikana mikono na Shukuru Lindunga kutoka Kambi ya Wonder Workshop, ambaye ni mmoja kati ya walionufaika na fedha zilizochangishwa
mwaka huu wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi, ambapo jumla ya sh. milioni 115 zilipatikana. Kutoka kushoto ni Dave Christie na Philip Burns wa kituo cha  Africa’s Children Africa’s Future centre.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.