Habari za Punde

*FM ACADEMIA YAPAGAWISHA MASHABIKI WAKATI WA PROMOSHENI YA BIA YA WINDHOEK


 Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakishambulia jukwaa wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek, iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Krismasi  usiku wa jana jijini Dar es Salaam. Bendi hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Mabibo Wine kupitia kinywaji chake cha Windhoek. 
 Kiongozi wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El Sadati (kushoto) akiwaongoza wanamuziki wa bendi hiyo wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade.
 Wanenguaji wa FM Academia wakishambulia jukwaa, wakiongozwa na Aaliyah.
Baadhi ya mashabiki wa FM Academia wazee wa Ngwasuma wakisebeneka.Picha na Habari Mseto

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.