Habari za Punde

*YANGA YALALA BAO 1-0 DHIDI YA TUSKER YA KENYA

Beki wa timu ya Tusker ya Kenya, Joseph Shikokoti (kushoto) akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuz, wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo uliomalizika hivi punde katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 

Katika Mchezo huo leo Yanga imefungwa bao 1-0 bao lililofungwa kwa mkwaju wa penati .

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.