Mtandao huu wa www.sufianimafoto.blogspot.com, unawatakia heri ya Sikukuu ya Christmas, Wadau wote wa mtandao huu na Wasomaji wake wote popote walipo Duniani, Mungu awazidishie na awajaalie muweze kusherekea vyema na kumaliza salama mbio za kuelekea kuumaliza mwaka huu wa 2012 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2013. Na hii ni kutokana na mtandao huu kutambua mchango wa kila mmoja wenu wewe unayesoma mtandao huu na wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine mnafanikisha kuuwezesha mtandao huu kuweza kuzidi kuwa hewani na kujitanua zaidi kwa kuongeza wasomaji wa ndani na nje ya nchi. MARRY CHRISTMASS & HAPPY NEW YEAR
TANESCO YAOKOA UPOTEVU WA MAPATO WA SHILINGI BILIONI 1.7 KUPITIA ZOEZI LA
UKAGUZI WA MITA NCHINI
-
*Jumla ya wateja 1,700 wamebainika kutumia umeme kinyume na taratibu.
*Yatoa onyo kali kwa wateja wanaofanya udanganyifu kurejesha umeme kwa
kutumia vishok...
1 hour ago

nawe pia.
ReplyDelete