Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani – SACP. Mohammed R. Mpinga (kushoto) akikabidhiwa Kitabu chenye maelekezo mbali
mbali ya Usalama Barabarani na Maneja wa Kampuni ya PUMA –
Mr. Philippe Corsaletti (kulia). Makabidhiano hayo yalifanyika
katika ukumbi wa mikutano wa PUMA tarehe 18/04/2013 ambapo vilikabidhiwa vitabu 4,800.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani – SACP. Mohammed R.
Mpinga” (kushoto) akionyesha Kitabu cha Usalama Barabarani kwa
baada ya kukabidhiwa na Maneja wa Kampuni ya PUMA – Mr. Philippe Corsaletti” (kulia). Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi wa mikutano wa PUMA tarehe 18/04/2013 ambapo vilikabidhiwa vitabu
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani – SACP. Mohammed R.
Mpinga” na ‘’Maneja wa Kampuni ya PUMA – Mr. Philippe Corsaletti” wakijadiliana jambo wakati wa makabidhiano ya Kitabu cha Usalama Barabarani. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi wa
mikutano wa PUMA tarehe 18/04/2013.
Maneja wa Kampuni ya PUMA – Mr. Philippe Corsaletti” (katikati)
akielezea mambo muhimu jinsi Kampuni yake ya PUMA itakavyokuwa inashirikiana na jeshi la Polisi katika kupambana na Ajali za Barabarani
kwa vitendo. Maneja huyo alitoa maelezo hayo mbele ya Maafisa wa Jeshi
la Polisi na Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakati wa makabidhiano ya Kitabu cha Usalama Barabarani. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi wa mikutano wa PUMA tarehe 18/04/2013.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani – SACP. Mohammed R.
Mpinga” na ‘’Maneja wa Kampuni ya PUMA – Mr. Philippe Corsaletti”
wakiwa katika picha ya pamoja kati ya wafanyakazi wa PUMA , Maafisa
na Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakati wa makabidhiano
ya Kitabu cha Usalama Barabarani Makabidhiano hayo yalifanyika
katika ukumbi wa mikutano wa PUMA tarehe 18/04/2013.
.png)
.png)
.png)
.png)
No comments:
Post a Comment