Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AMFARIJI MAKAMU WAKE DKT BILAL KWA KUFIWA NA MDOGO WAKE, ASHIRIKI MAZISHI ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,akiweka
 udongo katika kaburi la Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed 
Gharib Bilal, wakati wa maziko yaliyofanyika jana jioni Mwera,Wilaya 
ya Magharibi Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed 
Gharib Bilal,akitia udongo katika kaburi la Mdogo wake Marehemu Haji Gharib Bilali, wakati wa maziko yaliyofanyika leo jioni huko Mwera,
Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk. Ali 
Mohamed Shein,,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Haji 
Gharib Bilali, Mdogo wake Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed Gharib Bilal, wakati wa maziko yaliyofanyika jana jioni Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,akitia
udongo katika kaburi la Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
Dk.Mohammed Gharib Bilal, wakati wa maziko yaliyofanyika 
jana jioni Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.