Habari za Punde

*RAIS WA ZANZNIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA USTAWI WA JAMI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii   Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Baadhi ya watendaji na Maofisa katika Wizara ya Ustawi wa Jamii   Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, wakiwa katika mkutano na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.