Habari za Punde

*SIMBA INAONGOZA 2-1 DHIDI YA AZAM FC

 Katika kipute kinachoanza hivi sasa kipindi cha pili Simba inaongoza kwa mabao 2-1, huku mabao yote yakifungwa na Ramadhan Singano 'Messi', bao la kwanza limefungwa katika dakika 10, la pili dakika ya 14 na bao la Azam limefungwa na Kipre Tchetche kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 29.
 Messi, akitupia bao la pili na kumuacha kipa wa Azam, akigaa gaa.
Kiungo wa Simba, Mrisho Ngassa (kulia) akimtoka beki wa Azam FC.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.