Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AMUAPISHA WAZIRI WA FEDHA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Omar Yussuf Mzee,kuwa Waziri wa Fedha,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
 Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zainab Omar Mohamed,(kushoto) Waziri Machano Omar Saidi,na Waziri Haji Faki Shaali,(hawana Wizara maalum) na Waziri wa Miundombinu na  Mawasiliano Rashid Seif,(kulia) wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar kushuhudia kuapishwa kwa Omar Yussuf Mzee kuwa Waziri wa Fedha, leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha  Omar Yussuf Mzee,baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Fedha,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.