Balozi wa Marie Stopes Tanzania 2013, Mrembo Narieta Boniface ambaye pia ni Miss Chang'ombe 2013 na Miss Temeke mshindi wa 3. akikabidhiwa cheti maalum na Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania madame, Uller Muller, katika ofisi zao zilizopo Sinza Jijini Dar es Salaa, leo hii, ikiwa ni ishara ya kukaribishwa rasmi katika Taasisi hiyo ambayo mrembo huyo atakuwa akifanya kazi za kuhamasisha vijana hususan wasichana kujikinga na mimba zisizotarajiwa kwa kutumia njia za uzazi wa mpango. Picha na HIDAN RICCO.
Dkt. Dugange aagiza NEMC kuimarisha udhibiti wa kelele chafuzi nchini
-
-𝐀𝐬𝐢𝐬𝐢𝐭𝐢𝐳𝐚 𝐔𝐡𝐢𝐟𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐧𝐚 𝐔𝐬𝐢𝐦𝐚𝐦𝐢𝐳𝐢 𝐰𝐚
𝐌𝐚𝐳𝐢𝐧𝐠𝐢𝐫𝐚 𝐡𝐚𝐬𝐚 𝐮𝐝𝐡𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐥𝐞𝐥𝐞
𝐜𝐡𝐚𝐟𝐮𝐳𝐢 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐞...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment