Habari za Punde

*BRAVO YAWAPATIA KAZI DUBAI WATANZANIA WENGINE WAWILI

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bravo Job Centre, Jaffar Kingwande (kulia), akimkabidhi tiketi Amisa Ally (22), ya kwenda Dubai kufanya kazi za ndani aliyotafutiwa na kampuni hiyo. Anayeshudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Mohamed Omar.
 Jazira Rashid akipatiwa tiketi ya ndege na nyaraka zingine kwa ajili ya safari ya kwenda Dubai kufanya kazi aliyotafutiwa na kampuni hiyo.
Hawa ni baadhi ya waliopata tiketi za kwenda Dubai.....
 Amisa na Jazira wakiwa na baadhi ya maofisa wa Bravo pamoja na wadhamini wao
Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Omar akifafanua jambo wakati wa kuwaaga wafanyakazi hao

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.