*MWANA FA ALONGA NA VIJIMAMBO JUU YA SAFARI YAKE YA MAREKANI

Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya Bongo Flava, Mwana FA jana Jumatatu Novemba 18, 2013 alonga na Vijimambo aelezea historia yake kwa ufupi na kwanini yupo Marekani je yeye ni mfuasi wa Freemason? Je anamchumba? na kama anaye mchumba wake ni nani na lini wataaowa? kati ya Ali Kiba na Diamond nani anamkubali na mengene mengi MSIKILIZE


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Templateism Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.