OFISI
YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
SERIKALI KUENDELEA KUJENGA UWEZO WA WATAALAM KATIKA
KUFANYA MAJADILIANO NA UHAKIKI WA MIKATABA MBALIMBALI
___________
Ofisi
ya Mwanasheria Mkuu ndiyo yenye jukumu la Kikatiba la kuishauri Serikali kwenye
mambo yote ya kisheria ikiwemo masuala ya mikataba jukumu ambalo linatekelezwa
kupitia Divisheni ya Mikataba.
Ili
Divisheni hii, iweze kutekeleza majukumu yake, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kipindi cha mwaka 2013/2014
kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imekuwa ikijenga uwezo wa wataalam katika
kutoa ushauri wa kisheria, kuhakiki na kufanya majadiliano ya mikataba
mbalimbali ya kibiashara na kimataifa yenye kuihusisha Serikali, kwa lengo la
kuimarisha utendaji kazi wa Divisheni hii na kuweza kubaini matatizo kabla na
hata baada ya mikataba kusainiwa ili kuweza kurekebisha kasoro na hatimaye kuwa na mikataba yenye
maslahi kwa taifa. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
i.
Ofisi imefanya
mafunzo juu ya majadiliano ya Mikataba yaliyojumuisha maofisa kutoka Wizara na
Taasisi za Serikali wadau mbalimbali takribani 30.
ii.
Imeweka
utaratibu wa mafunzo ya muda mrefu kwa Mawakili. Kwa mwaka huu Mawakili wa
Serikali wawili wako mafunzo ni kwa ajili ya shahada ya Uzamili katika maeneo
ya mafuta na gesi.
iii.
Mwezi huu ofisi
ikishirikiana na Chuo cha Uongozi imewapa mafunzo Mawakili 8 kuwajengea uwezo
wa namna ya kufanya majadiliano katika maeneo mbalimbali ya Mikataba.
iv.
Kuongeza idadi ya Mawakili katika Divisheni
hii wakati wowote uwezo ukiruhusu.
Aidha, katika kipindi cha mwaka 2012/2013 Ofisi
imefanikiwa kushughulikia na kutoa ushauri wa kisheria katika mikataba 330
ambapo mikataba 295 kati ya hiyo ilihusu manunuzi ya umma na 35 ilihusu masuala
ya uwekezaji, mikataba 58 ya makubaliano (MoU) na mikataba 21 ya makubaliano
Baina ya nchi (Bilateral Agreements). Sambamba na hilo, Ofisi ilihudhuria
katika vikao 185 vilivyohusu majadiliano ya mikataba na mahusiano ya kimataifa.
Katika kutekeleza majukumu
haya, ofisi imekuwa ikikumbana na changamoto nyingi ambazo ni pamoja na:
i.
Uhaba
wa rasilimali fedha kwa ajili ya mafunzo na vitendea kazi
ii.
Baadhi
ya Taasisi na Idara za Serikali kutokuleta Mikataba au makubaliano yao
kuhakikiwa kabla ya kusainiwa.
iii.
Ufinyu
wa muda kutokana na masuala ya dharura yanayohitaji ushauri wa haraka wa
kisheria.
iv.
Namba
ndogo ya Mawakili wa Serikali wataalam katika maeneo mapya maalum mfano ya
gesi, petroli, madini nk.
v.
Ofisi
kuhusishwa katika hatua ya kuhakiki mikataba badala ya kuhusika kuanzia kwenye
hatua ya majadiliano yanayohusisha wataalam wa maeneo mengine. Mfano katika
Mikataba ya manunuzi ya Umma.
vi.
Mikataba
au kazi nyingi kuletwa katika mazingira ya dharura na hivyo kutotoa mwanya wa
utafiti wa kina.
Hitimisho
KUHUSU
MUUNDO MAJUKUMU YA DISISHENI YA MIKATABA.
UTANGULIZI
Divisheni ya Mikataba ni
moja ya Divisheni katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Divisheni hii ya
Mikataba ilianzishwa mwaka 2011, baada ya Serikali kufanya mabadiliko ya Muundo
wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kugawanya iliyokuwa Idara ya Madai
na Sheria za Kimataifa; Idara ambayo ilikuwepo tangu kuanzishwa kwa Wizara ya
Katiba na Sheria mwaka 1976.
MUUNDO
DIVISHENI.
Divisheni hii inaongozwa
na Mkurugenzi akisaidiwa na wakurugenzi wasaidizi wawili ambao wanaongoza
sehemu mbili za divisheni; “Contracts” na
“Treaties”. Divisheni ina mawakili wa Serikali ishirini (20)
LENGO
LA DIVISHENI
Lengo kuu la Divisheni ya
Mikataba ni kutoa ushauri wa Kitaalam
kuhusu masuala ya Mikataba na makubaliano yanayoihusu Serikali. Katika
kutekeleza jukumu hili, divisheni kwa ujumla inafanya kazi zifuatazo;
i.
Kuandaa
na kushauri juu ya mikataba na Makubaliano mengine yanayoihusisha Serikali,
ii.
Kutoa
ushauri wa Kisheria kwa Serikali
kuhusiana na makubaliano ya Kikanda,
iii.
Kutoa
ushauri wa kisheria kwa Serikalki kwenye majadilano ya mikataba yanayoihusisha
Serikali au katika mikataba na makubaliano na majadilano mengine ambayo
Serikali ina manufaa,
iv.
Kutoa
ushauri wa kisheria kwa Idara na taasisi za Serikali kwenye mikataba na
makubaliano mengine ambayo Serkali ina manufaa.
Aidha kama tulivyosema
awali, Divisheni hii imegawanyika katika sehemu mbili. Kila moja ya sehemu hizi
ina kazi maalum inazozitekeleza. Sehemu
ya mikataba ya kibiashara (Contracts) inafanya kazi zifuatazo:
i.
Kutoa
ushauri wa kisheria kweye majadiliano ya mikataba na makubaliano mengine ya
kibiashara ambayo yanayoihusisha serikali mfano Madini, miundombinu nk.
ii.
Kutoa
ushauri wa kisheria kwenye mikataba na nyaraka nyingine za kisheria ambazo
zinaihusisha au Serikali ina manufaa.
iii.
Kufanya
utafiti wa kisheria kuhusu masuala yanayohusu mikataba ya Serikali.
iv.
Kutoa
ushauri wa Kisheria kwa idara na taasisi za Serikali kuhusu utekelezaji wa
Mikataba yenye manufaa kwa Serikali.
v.
Kuhakiki
na kushauri juu ya mikataba ya manunuzi.
vi.
Kuandaa
maoni ya kisheria pale ambapo kuna masharti ya awali katika utekelezaji wa
mikataba ya mikopo kutoka taasisi mabali mbali za kifedha.
vii.
Kushauri
shirika la ubinafsishaji (CHC) kwenye mambo ya ubinafsishaji wa makampuni
yaliyochini yake na utekelezaji wa mikataba yake.
viii.
Kushauri
juu ya mikataba yote ya Serikali kabla ya kusainiwa.
Divisheni hii sehemu
ya “ Treaties” inafanya kazi zifuatazo”
i.
Kupitia
na kutoa ushauri wa kisheria juu ya mikataba ya kikanda, bilateral na
multilateral.
ii.
Kutoa
ushauri wa kisheria kwa Serikali kwenye mikataba na majadilano ya Mikataba ya
Kimataifa ,
iii.
Kutoa
ushauri wa kisheria kuhusu mahusianao na kazi za taasisi za jumuiya ya
kimataifa mfano; Umoja wa Mataifa, EAC, SADC, katika masuala ambayo yanahitaji
kutoa msimamo wa Serikali.
iv.
Kufanya
utafiti wa kisheria kuhusu mikataba ya Kimataifa.
v.
Kutoa
ushauri wa kisheria kwa Wizara, Taasisi za Serikali na kwa umma kuhusu masuala
ya makubaliano ya kimataifa.
vi.
Kushauri
Wizara na taasisi za Serikali kuhusu mikataba ya kimataifa inayohitaji ridhaa
ya bunge kabla ya kusainiwa,
vii.
Kushauri
Wizara na Taasisi zinazojitegemea kuhusu utekelezaji wa Mikataba ya Kimataifa.
KUHUSU
MAJUKUMU NA MUUNDO WA DIVISHENI YA
MIKATABA

shirika la ubinafsishaji (CHC) kwenye mambo ya ubinafsishaji wa makampuni yaliyochini
yake na utekelezaji wa mikataba yake.
viii.
Kushauri
juu ya mikataba yote ya Serikali kabla ya kusainiwa.
Divisheni hii sehemu
ya “ Treaties” inafanya kazi zifuatazo”
i.
Kupitia
na kutoa ushauri wa kisheria juu ya mikataba ya kikanda, bilateral na multilateral.

KUKUHUSU

No comments:
Post a Comment