 |
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiteremka
katika ndege ya Serikali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume
Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani huko. |
 |
Akisalimiana na baadhi ya Viongozi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE |
 |
Picha juu na chini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wanancchi, alipowasili katika
uwanja wa Ndege wa Karume Pemba |
 |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kama isara ya
uzinduzi wa kituo cha kununulia Karafuu cha
Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya Wete Kaskazini Pemba |
Dkt. Shein akiangalia Karafuu...
 |
Picha juu na chini, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiangalia Karafuu katika kituo cha Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya Wete
Pemba baada ya kkukifua rasmi kituo hicho cha kununulia zao hilo |
 |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na
Viwandana Masoko Rashid Ali Salim,(wa pili kulia)alipotembelea Kituo cha
Ununuzi wa Karafuu cha Mzambarauni Wilaya ya Wete Pemba |

Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakipata maelezo kutoka kwa Shaibu Hamadi Ali,alipotembelea Kituo Mzambarauni akiwa
katika ziara ya wiki moja Kisiwani Pemba. Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu. |
No comments:
Post a Comment