Bwana na bibi harusi, Jujilo na Blandina wakiwa na nyuso za furaha katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa katika kanisa la C.D.A Mbagala jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na seherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa PR. Studium Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki iliyopita.
BILA KAMATI YAKO NISINGEFANIKISHA SHUGHURI HII: Bibi harusi mtarajiwa Mary Kaunga, akimkabidhi zawadi ya keki mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya send off part yake Albert Mgoha kama shukrani kwa wanakamati wakati wa sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Mwenge Social Hall jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment