Habari za Punde

*BONDIA TWALIB MCHANJO AMGALAGAZA ELIYA NGOZI KWA POINTI

Bondia Twalib Mchanjo (kulia) akimchapa konde zito mpinzani wake Eliya Ngozi, na kumpeleka chini wakati wa pambano lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corne Dar es salaam. Katika pambano hilo, Twalib alishinda kwa pointi. Picha na Super D.
Bondia Lulu Kayage (kushoto) akichapana na Fadhila Adam, wakati wa pambano lao lililofanyika kwenye ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corne Dar es salaam. Wakali hao waalitoka sare kwa kulingana pointi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.