Habari za Punde

*DAYNA, CINDY WAWAPAGAWISHA VILIVYO KINA 'NGOSHA' MWANZA VALENTINE DAY

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Cindy Sanyu (katikati) akiimba na kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa shoo yake iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya JB Belmonte Hotel, jijini Mwanza, katika sikukuu ya wapendanao 'Valentine Day' iliyofanyika jana usiku.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini 'Bongo Fleva' Dayna Nyange, akishambulia jukwaa kwa kuwapagawisha mashabiki wake kwa kibao chake cha 'Nivute Kwako'  wakati wa shoo ya kusherehekea siku ya Wapendanao 'Valentine Day' iliyofanyika kwenye Ukumbi wa JB Belmonte Hotel jijini Mwanza jana usiku.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.