Habari za Punde

*MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON DC

Balozi wa kudumu wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani Mhe. Roble Olhaye alipotembelea ofisi za Ubalozi wa AU zilizopo Georgetown, Washington, DC jana Ijumaa Feb 14, 2014.
Mkuu wa Mabalozi (Dean) nchiniMarekani Mhe. Roble Olhaye akitia saini kitabu cha wageni na baadae kufanya mazungumuzo na Balozi wa kudumu wa AU nchiniMarekani, Mhe. Amina Salum Ali jana alipotembelea ofisi hizo zilizopo Georgetown, Washington, DC. Balozi Roble Olhayeanatokea Djibouti.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.