Habari za Punde

*HADHA NA KARAHA ZA BARABARA ZA JIJINI NYAKATI ZA MVUA

Hii ndiyo hadha ya barabara za jijini Dar es Salaam zinazokabiliwa na ubovu wa miundombinu ambapo nyakazti za mvua barabara nyingi hujaa maji kama inavyoonekana pichani,  Kamera ya Mdau ilimnasa madereva hawa wa Bodaboda wakiwa na abiria wao, wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. 
 Dereva wa Bodaboda wakiwa na abiria wao, wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. 
Kama kawaida,sasa hivi mwendo ni kuning'iniza miguu juu tu.Picha kwa hisani ya K-Vis Blog

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.