Bondia Georger Dimoso (kushoto) akipambana na Said Mbelwa wakati wa pambano lao lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Friends Corner Manzese, jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo, Mbelwa alishinda kwa Pointi.
Baadhi ya mashabiki kutoka Tanzani Boxing Fans Group Watssup wakijadili jambo na bondia Thomasi Mashali wa pili (kushoto) wakati wa pambano hilo. Picha na Super D.
No comments:
Post a Comment