Habari za Punde

*MKUTANO WA CCM KIBANDAMAITI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk.ALi Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na WanaCCM Kibandamaiti katika mkutano wa Hadhara uliofanyika jana.
 uasisi wa mapinduzi ya Zanzibar na mwana CCM MzeeHamid Ameir alipokuwa akitoa salama za chama kwa Wananchi na WanaCCM Kibandamaiti katika mkutano wa Hadhara uliofanyika leo na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk.ALi Mohamed Shein.
Wananchi na WanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa hadhara Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti wakinyoosha mikono juuu kuunga mkono maneno yaliyozungumzwa uwanjani wakati mkutano ukiendelea uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk.Ali Mohamed Shein. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.